Nyati Akizeeka Hutengwa Na Familia, Sababu Anakua Hana Uwezo Wa Kuwalinda Wenzake. Wanaotengwa Ndio Huwa Balaa Na Hatari Zaidi, Unashauriwa Kukaa Mbali Kabisa Na Nyati Unaemuona Yupo Peke Yake, Sababu Muda Wote Anakua Na Stress Na Kujihami Kwa kitu Chochote. Wanaotengwa Ni Dume.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment