Blue Monday

Blue Monday Ni Siku Maalumu Ambayo Hupewa Jumatatu na Huwa Ni Mwezi Januari Na Mara Nyingi Huangukia Jumatatu Ya Wiki Ya Tatu Katika Mwezi Huo. Sababu ya Kuipa Jina Hilo, Inasemekana Hiyo Ndio Siku Ambayo Watu Huwa Na Hali Mbaya Sana Kuanzia Kifedha Na Mambo Mengine.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages