Mjue "ELIZABETH" marufu kama "DRACURA".(most deadlist woman in the world)

Mjue "ELIZABETH" marufu kama "DRACURA".(most deadlist woman in the world) Elizabeth dracula alizaliwa august 7,mwaka 1560 na kufa 21,mwaka 1614, alikuwa ni mzaliwa wa hungarian ambaye badae ali miliki ardhi katika kingdom of hungary. Huyu ana tajwa kama ni mmoja kati ya watu ambao hawakupaswa kuishi dunia kutokana na matendo yake ya kinyama..katika maisha yake baada ya kuwa mkubwa ali amini kuwa damu na mafuta ya watoto wakike wadogo akitumia zinaifanya ngozi yake kuwa nyororo(soft) hivyo kuonekana mdogo, kadrisiku zilipo enda alianza kuwa na tabia za kivampire na cannibas , hivyo alianza kuua na kula watoto wadogo kisha damu zao na mafuta alikuwa anatumia kujipaka mwilini ili ngozi yake iwe nyororo(soft).. Katika maisha yake yote ya mauaji ameuwa zaidi ya watoto 650,ndipo badae bada ya kujulikana kwa tabia hiyo ,ali fungwa gerezani mwaka 1610 wakati huo alikuwa akiugua ugonjwa wa kisukari ndipo miaka minne mbele 1614 umauti ulipo mkuta akiwa gerezani.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages