-''BALTIC SEA ANOMALY." Hiki ni kitu kikubwa mfano wa mwamba wa chuma (rocky) katika bahari ya baltic..kitu hicho kiligunduliwa na peter linberg na dennis asberg huko sweedeni ndipo walipo chukua picha ya kifaa hicho na kusambaza mwaka 2011, na kukibatiza jina kifaa hicho "baltic sea anomaly"..
hiki kifaa kinapatikana katikati ya bothnia sea ,kaskazini mwa bahari ya baltic ..hicho kifaa kilikuwa na mwonekano wakushangaza na unambiwa ni kikubwa kina urefu wa mita 60, kina baadhi ya vitu kama mfano wa taa,ngazingazi n.k ambapo kiuhalisia kinaonekana hakija tokea natural.
Na chakushangaza kitu chochote cha umeme(erectronic) hakifanyi kazi kikiwa kalibu na maeneo hayo mfano sim haishiki network apo,boat huzima ikipita maeneo ya hicho kitu, pia vitu vingine vyote vinavyo tumia umeme havifanyi kazi sehemu hiyo...
kitu ambacho kime washangaza wengi na kuzua mijadara ,watafiti wengi waliwekea mlengwa wao kwa ufology,kama tabloid news paper wali chapisha makala na kusema kuwa hicho ni chombo cha uharibifu cha aliens ambacho kilipotea bada ya meli yao ya aliens ilipozama katika bahari hiyo kipindi cha ANCIET ERA,wengine kama MSNBC wali sema hicho ni flying saucer kutoka sayari za mabali huku wengine wakisema ni alien spaceship. pia wapo ambao wana amini hicho kitu ni aina tu ya mwamba ambao umejitengeneza by nature hayo yalisemwa na volker bruchert proffesor wa geology lakin wali mpinga kwasababu kama ni mwamba wakawaida kwanini vifaa vya umeme(erectronic) havifanyi kazi kalibia na kifaa hicho cha Baltic sea anomaly.
BALTIC SEA ANOMALY
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment