Mimea ya Mauti!!

Rafflessia Arnoldii Ni Jamii Ya Mimea Ambayo Hufahamika Pia Kama 'Mimea Ya Mauti'. Huitwa Hivyo Kwa Sababu, Hutoa Ua Ambalo Huvunda Sana Na Kutoa Harufu Sawa Kama Mzoga. Na Ndio Sababu Ikapewa Jina Hilo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages