Makaburi yenye kengele

Zamani watu walikuwa wanazikwa wazima mara nyingi kwa kuhisiwa kuwa wamekufa kutokana na ukosefu wa teknolojia ya kuthibitisha kuwa wamekufa. Miaka ya 1800, barani ulaya walianzisha majeneza yenye kengele zinazotokeza nje ya kaburi ili mtu kama amezikwa mzima akizinduka apige kengele kuwastua duniani.


No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages