Maajabu ya Ziwa Khiluk

Ziwa Khiluk, linapatikana katika bonde la British columbia, nchini Canada, ni moja kati ya sehemu ya maajabu, ndani ya ziwa hili kuna Vibwawa vidogo vidogo 365,na kila bwawa lina maji yenye rangi na kemikali tofauti, na inadaiwa kila maji ya mabwawa hayo ni dawa/tiba ya magonjwa tofauti tofauti..

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages