GROWING GAP . . .
Katikati na chini ya Bahari ya Atlantiki, Kuna Bonde kubwa linalo fanana na mfereji wenye Muundo wa pango, Mfereji huo una tenganisha Amerika Kaskazini na Eurasian na huo ndio mpaka rasmi kati ya mabara mawili (Amerika na Ulaya).
.
lna elezwa mfereji huo asili ni wenye kuvutia sana ambapo chini ya Kuna sakafu nzuri ambayo ina badilika badilika. Sehemu hii ipo chini kabisa kwenye kina cha bahari ya Atlantiki (Kilindi cha bahari). Pia Kuna vitu viwili vyenye umbo kama sahani ambapo hizi huwa hazikutani wala kugusana. .
Ina elezwa Sahani ya za Amerika Kaskazini na ya Eurasian huwa zina jitenga na kutengeneza mpaka huo. Mabara hayo mawili huwa yana jitenga sentimita 2.5 (1 inch) kwa kila mwaka.
.
Ni vizuri na ina pendezesha Kuogelea kupitia eneo hilo lenye uzuri wa asili, uki safiri kwa kutumia mfereji huo una kutana na makorongo yenye kuvutia pamoja na maporomoko ya maji ya chini ya bahari. . . Kwa kutumia mfereji huo ina elezwa kwamba una weza uka safiri kutoka bara la Amerika Kaskazini hadi Bara la Ulaya ingawa ni hatari sana, pia una weza ukazitembelea nchi zote ambazo zina zungukwa na bahari ya Atlantiki kwa kutumia huo mfereji. . . .
Wahamiaji Haramu Wana husishwa na kujaribu kutumia mfereji huo kutoka nchi moja kwenda nyingine ingawa hakuna aliye ripotiwa kufika salama. . .
Alex Mustard, mwenye umri wa miaka 36, ali ingia kwenye mfereji huo kupitia Eurasian karibu na Iceland ili kupiga picha hizo zenye kuvutia.
Maajabu ya bahari "GROWING GAP"
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment