JINSI YA KUFANYA LUCID DREAM KWA MTU ANAE JIFUNZA
Una weza Kujiandalia Mazingira Yako Ya Kupata lucid Dream naikuletea matokeo Upesi Zaidi unachotakiwa kufanya Ni kuandaa Daftari Lako La kunakili Ndoto Unazo ota Na Mara Kikikutokea kitu cha ghafla penda sana kujiuliza hivi naota au?
Penda sana pindi unapo jiangalia kwenye kioo ukijiona jiulize pia naota Au? Lakini Ukiiona sura yako kwenye kioo ina maana huoti na usipoina jua upo ndotoni Ni Ngumu Kidogo Kujua Kama Unaota au laa lakini Kwa Mazoezi Utajua
Hatua Za Kufuata
1.Utatakiwa Uwe na daftari la Ndoto Zako
2: Saa Ya Alarm
Hatua ya Kwanza
Weka daftari yako pembeni ya kidogo ya kutisha ili uweze kuandika kila kitu ambacho utaota usiku wote
Hatua Ya Pili
Angalia kitabu chako kioo na saa yako mara kadhaa kwa Siku maana ndotoni hizi zote huwa tofauti ndotoni maana huyumba yumba na kutoeleweka jifinye finye sehemu za mwili ili kitokea Una jifinya ndotoni huumii basi unajua hapa nimeingia ndotoni.
Hatua ya Tatu
Ukienda kukidandia kitanda jiambie nikiota leo lazima tajuatu fanya kama Una ulazimisha ubongo kwamba nikiota nitajua tu.
Hatua Ya Nne
Tega Alarm Yako Mapema Zaidi Ya Kawaida Na Ikilia subiri dakika kama sita halafu urudi tena kulala kufanya hivi utakuwa ume ongeza asilimia za kupata lucid dream 20% hadi 50%
Hatua Ya Tano
Ukihisi Umeingia Kwenye Lucid Dream Jaribu Kupaa Juu Juu i
Ili Kuthibitisha kama tayari upo kwenye Lucid Dream
Paa juu ya milima. Pia Jaribu Kupiga Hesabu Ambazo Huwa Zina kushinda Na Maswali yanayo kushinda Kujibu. Jaribu Kufikiria Ndugu Yako yupi Umpendae Ametangulia Mbele YA Haki Au Rafiki Yako Yeyote Ambaye Una Hisi ana Uwezo wa kujibu maswali yako magumu anza kumuuliza swali moja moja aendapo ata jibu swali ulilo Muuliza basi i jua Una anza Kuingia Lucid Dream.
NB
Jambo La Kuzingatia hapa ni pale Unapo enda Kulala Hakikisha Hujikuni Ovyo Wala Kujigusa Gusa Popote Ukilala lala Ubavu Mmoja Huo Huo IliUweze Kufanya Mwili Ujue Umelala Hali Ya Kuwa Upo Macho.

No comments:
Post a Comment