Lucid Dreams (02)

Sasa Kabla Ya kukupatia hatua za kufanya ili uweze kuamrisha ndoto yako ebu nikupe muongozo kidogo ili utakavyo anza kufuata zile hatua ujue Una fanya nini na kwa malengo gani. ⚫

1. Je Una taka kufanya kwasababu ya Maajabu Na Miujiza? 
Hii ina wavutia Wengi Kudiliki Kufanya Mazoezi Ya lucid Na Kujigengenezea majabu Mengi Ya Ndotoni, Wengine hujitengenezea stori nzuri za maisha na kuanza kuota lakini kwa watu ambao ni waandishi wa vitabu na filamu  Hudiliki Kutoa Hadithi Walizotengeneza Kwenye Lucid Dreams na Kuzitengenezea filamu. 
Labla nikupe mfano wa baadhi ya Waigizaji, - The Wachowskis, Alieandika Movie Ya Matrix hii Movie wazo lake alilitoa kwenye Lucid Dreams, kwa wafuatiliaji wa movies Wana ifahamu. . - Lewis Carroll: kupitia Lucid Dream alieandika Riwaya ya Alice In Wonderland.

Una weza kuziangalia hizo Movies na hiyo Riwaya Zitakupa muongozo Kuhusu Lucid Dream.


2. Je Unataka kufanya ili kuzishinda Ndoto Za Ajabu, Kutisha Na Kipumbafu? 
Hapa ndo utakutana na wale wataalam wa kuota Una okota hela, Unafukuzwa, Una ota Una fanya mapenzi na mtu fulani, Unaota Una chinjwa, Una weweseka na kupiga kelele, kuna wale Ukilala nao Wana hadithi nzuri sana utakua ana kusimulia hadithi tamuu lakini uki muangalia ame lala usingizi mzito, Mwingine ana tabasamu sana na kucheka kwa sauti. ⚫

Na Ukajijua Unaota Wengi wakijua wanaota huanza kupigana na majinamizi au wachawi hao ambayo pia inakuwa ni ujinga hali ume tambua unaota Una simama tu Una amrisha zina potea na unaamuru nini cha kufanya au kujiamsha. ⚫

3. Unataka kufanya ili kutatua matatizo yanayo ambatana na Ndoto? 
Wengi Wana Matatizo Ya kukabwa Lakini Hukimbilia Kusubiri Itakavyo kuwa Lakini huu ni Udumazaji wa mawazo ukijifunza Lucid na kuanza Kutatua tatizo Lako Utapata Muongozo Mwisho Wa Siku Una fanikiwa ⚫

Itaendelea ⚫

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages