Hawa Walikua WanaJiita Wanajeshi Maskini wa Yesu kutoka hekalu la Solomoni.
Lilikuwa Ni Jeshi la Wakatoliki lilianzishwa mwaka 1119 kwaajili ya kuwalinda na kuwasindikiza Wakristo kwenda kwenye hija. -
Jeshi hili lilikuwa likitumia farasi kwaajili ya kusafiria, Makazi yao yalikua Israel kwenye milima huko Jerusalem, Kauli Mbiu yao ilikua "Non nobis, Domine, non nobis, sed Nomini tuo da gloriam" (Not unto us, O Lord, not unto us, but unto thy Name give glory) [Sio kwetu, Ee Bwana, si kwetu, bali kwa Jina lako utupe utukufu]. -
Iilikua Lina Ongozwa Na Saint Bernard wa clairvaux, lilikuwa na wanajeshi kati ya 15,000 na 20,000
Hivi ni baadhi ya vita walivyo Pigana wakiwa njiani kuelekea Kwenye Hija na vingine walivyo vamiwa wakiwa kwenye Hija -
Siege of Ascalon (1153)
Battle of Montgisard (1177)
Battle of Marj Ayyun (1179)
Battle of Hattin (1187)
Siege of Acre (1190–1191)
Battle of Arsuf (1191)
Siege of Al-Dāmūs (1210)
Battle of Legnica (1241)
Siege of Acre (1291)
-
Mnamo Mwaka 1312 Kundi hilo Lili vunjwa Rasmi na Pope Clement wa V ambaye alikua ame shauriana na King Philip IV kutoka Ufaransa Mara Baada ya mambo kuto kwenye sawa.
Vifaa Na siraha zote zilizo kuwa zina tumiwa na Kundi hilo vili kusanywa sehemu moja na kuhifadhiwa Kama makumbusho. -
Miaka Mingi baadae Mtafiti mmoja aliye Fahamika kwa jina la Adam Weishaupt akiwa katika tafiti zake ali tembelea kwenye Lile pango kuliko hifadhiwa yale mabaki huyu Bwana alifika na wazo la Illuminate akiwa na maana ya "Into the bright" yaani kuvitoa vile vitu Gizani kwa mara ya kwanza Tarehe 1 mwezi wa 5 mwaka 1776 kikaanzishwa kikundi cha Illuminati na huyo Bwana Adam. -
Wakati kina anzishwa hakikua kikundi cha kiluficer au Kishetani kama ambavyo wengi Wana Penda kukuiita. -
Leo hii Freemasons Wana Knights Templar Yao inayo pambana na Ukristo, Una wafahamu Shiners hawa ni antislamic Ndio wanao eneza habari za kuzua na propaganda kwenye Uislam, Wana fuata tamaduni za kiarabu sio za Kiislam lakini Wana jiingiza ingiza kwenye Uislam
KNIGHTS TEMPLAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment