Bennington triangle.
👉hii inapatikana katika misitu ya Vermont katika milima ya Glasternburg... hii sehemu inatisha sana ambapo watu kadha wameshapotea na hawaja wai kupatikana tena katika sehemu hiyo ambayo imezungukwa na miti mirefu,mwanga hafifu ulioambatana na mawingu kiasi cha kuto kuona mbele ...pia ndani ya maeneo hayo pana alama kubwa za miguu ya mtu na huaminika kama ni sehemu yenye ghosts/pepo kutokana na sauti za ajabu zinazo skika ukiwa maeneo hayo..

No comments:
Post a Comment