Je Wajua

Usicho kijua ni kwamba binadamu wote kwa costantly wana uwezo wa kubana pumzi bila kupumua kwa dakika sita pasipo kufa sema tatizo wengi ni waoga hivyo huishia dakika mbili au moja..hila unambiwa unafikisha hadi dakika sita na haufi..
👉binadamu alie vunja record ya kubana pumzi kwa dakika nyingi ni mjeruman "freediver" ,yeye alikaa ndani ya maji bila kupumua kwa dakika 22 na sekunde 20. ✨✨✨✨MWISHO✨✨✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages