Je Wajua?

Hii ni familia ambayo wote wanatembea kwa mikono na miguu kama mnyama wa miguu minne...familiya hii inapatikana huko kaskazin mwa nchi ya TURKEY katika jamii ya KURDISH ambapo iligunduliwa na mwandishi mmoja wa BBC "Jemima harrison" mwez wa tatu mwaka 2006.
👉unambiwa hawa wamezoeshwa hivyo toka kuzaliwa kwao na usicho kijua ni kwamba hawa wezi kusimama na kila walipo wajaribisha kusimama walidondoka chini kwa kukosa balance kwasababu wao hawajui tendo la kusimama na wao wanatushangaa sana sisi tunaosimama kwasababu hawajui kusimama na kutembea kwa miguu miwili.. ✨✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages