iphone XS na XS Max kusumbua!

Watumiaji wa iPhone XS na XS Max wameripoti tatizo la kuchaji simu hizo wakitumia chaja za waya, ambapo baadhi haziingizi chaji zikiachwa muda bila kuguswa (sleep mode), huku nyingine zikiwa haziingizi chaji kabisa. Hadi sasa Kampuni ya Apple haijazungumzia tatizo hilo. REUTERS

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages