Ijue USS Gerald Ford!!

Meli ya kubebea ndege za kivita ya Marekani, USS Gerald Ford, iliyoanza kutumika 2017, ilitengezezwa kwa dola bilioni 12.8. Gharama hiyo ni zaidi ya bajeti za wizara nzima za majeshi na ulinzi katika nchi zaidi 180. Ni nchi 16 tu duniani ambazo bajeti yake ya wizara ya ulinzi inazidi dola bilioni 13.


No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages