Story fupi ya Mbwa inayosikitisha

Hachiko alikua Mbwa anaemilikiwa na Prof aliyekua anafundisha chuo. Mbwa huyo alikua na kawaida ya kumsindikiza katika Kituo cha treni Prof na baadae kurudi tena kumsubiri Kumpokea. Kuna siku Prof alipatwa na mshtuko akiwa anafundisha na kufariki. Mbwa Aliendelea kumsubiri kwa takribani miaka 9 kituoni hapo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages