Je, Wajua?
Tetemeko la ardhi lenye nguvu kubwa linaweza kupunguza urefu wa siku kwa kuongeza spidi ya dunia kuzunguka kwenye muhimili wake.
Mfano; Tetemeko la Japan la 2011 lililokuwa na kipimo cha Richter 9 lilipunguza urefu wa siku kwa sekunde 0.0000018.
Je, Wajua? Tetemeko la ardhi lenye nguvu kubwa linaweza kupunguza urefu wa siku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment