SOCIOPATH

SOCIOPATH 4
Serial Killers wote ni sociopath?
Kwa kifupi hawa Serial killers ni wale watu wanao jitengenezea orodha ya watu Wanao au watakao waua.
Ni hatari sana hawa watu, kwani sio lazima watumwe kuua. Ni kwamba Wana jitengenezea sababu zao kichwani mwao zinazo watosha wao kwasababu wengine hufurahi kuona damu.
Kuna Serial killer mmoja nchini Marekani ali wahi kunukuliwa akisema hakuna kitu kizuri kama kuua yani yeye ana furahia kumshoot mtu na kumuona damu ikimtoka alipo ulizwa kama suala Ni kuona damu kwanini asifanye hivyo kwa wanyama, akasema kila mmoja ana weza kuua mnyama lakini kumuua Binadamu ina furahisha sana Ni Jambo La kupendeza mno.
Siku Moja Nilikua Na rafiki yangu tuna badilishana mawazo aka niambia Kwa Tafiti ambazo zilikua zime fanywa Marekani kwasababu Ni nchi inayo tajwa kuwa na Serial killer wengi aliniambia tafiti zili tanabaisha kuwa Asilimia kubwa ya Serial killer Wana tengenezwa kabla ya kuzaliwa na wengine baada.
Aliniambia wengi Ni wale ambao wakati mama Ni mjamzito Mimba Yake ili jaribu kutolewa bila mafanikio au mama hupigwa na kunyanyaswa akiwa mjamzito na hata wanapo zaliwa hutipia maisha fulani ambayo sio ya kiungwana
Hata hivyo sio kwamba sociopaths wote ni serial killers.
Sociopath ni waongo wakubwa kwa sababu hawana dhamiri. Kwahiyo watatumia sababu zote za kuficha matendo yao ili kuepuka kugunduliwa.
Sociopath hawawezi kukabiliana na hisia zao hivyo wanaweza kutumia hisia yako dhidi yako. ufanisi zaidi Una Hitajika kuishi na watu kama hao; hivyo, ikiwa unapaswa kushughulika na sociopath, shika hisia /hisia zako au ukishindwa wata kudhibiti.
Kuwa na kinga ya ukalimu wao.
Ingawa sio sociopath wote ni wabaya, ni vyema kuwa makini na watu hawa kwa ngazi yoyote ya kihisia na urafiki.
Tabia za sociopath zinaweza kuchanganywa na hali kama vile autism au kinyume chake.
Tofauti kuu ni kwamba sociopath hawana dhamiri, wakati watu wa autistic wanajali, lakini huenda wasio na maana ya kujibu, kujua lipi jema lipi baya.
Wakati mwingine watu huchanganya
narcissist na sociopath, Sio Narcissist wote Ni sociopath, lakini Sociopath wote Ni Narcissist.
MWISHO

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages