EROTIC ASPHYXIATION - 1

EROTIC ASPHYXIATION - 1
Erotic asphyxiation pia ina Julikana Kama breath control play ni kitendo cha kubana pumzi wakati wa kufanya Mapenzi, kitendo hiki ni hatari sana na mtu anaweza kufanya kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Kitendo hiki pia kina julikana kama asphyxiophilia, autoerotic asphyxia, au hypoxyphilia.
Neno autoerotic asphyxiation Lina tumika kama kitendo kina fanywa na mtu mwenyewe kwa kukusudia mtu mwenye tabia hii kitaalam ana itwa GASPER.
kitendo hicho kina weza kutokea kutokana na sababu tofauti, Kuna ambao wakati Wana shiriki tendo Wana kosa pumzi labla kutokana sababu fulani, Endapo mtu ata kosa pumzi moja kwa moja kiasi cha oksijeni kwenye ubongo kina kuwa kidogo sasa ina kuwa mbaya sana mtu ikimkuta hali hii wakati ndo ana fika kileleni (Orgasm) kwa lugha isiyo rasmi Wana sema kukojoa.
Endapo mtu ana kutana na hii hali ya ubongo kukosa oksijeni na ndo ana fika kileleni (Orgasm) ki uhalisia ana jisikia raha ya hali ya juu sana ambayo haja wahi kuipata kibaya zaidi ataendelea kujiziba pua na mdomo ili aendelee kuipata ile raha hapo kuna asilimia kubwa sana ya mtu kupoteza maisha kwasababu ule utamu Una mpa uchizi kiasi cha kuto jali chochote.
Kuna ambao Wana fanya kwa kukusudia mtu akisha gundua kuwa wakati ukifika kileleni (Orgasm) uki bana pumzi ile raha ina kuwa ya kiwango cha juu basi ana fanya hivyo lakini ni kitu kibaya sana, narudia tena ni kitu kibaya sana,
Wengi Wana kutwa wame kufa ana weza kufa mwanamke au mwanaume na wakati mwingine wote.
Ndo ile Utasikia "KAFIA GETO" Lakini hakuna anae fahamu sababu, kumbe mtu ame jiuwa mwenyewe, Una weza ukawa Una liuliza kwanini mtu ana fanya hivi? Ina wezekana walio kufa ndo Wana majibu mazuri zaidi, Kwa kawaida mtu anavyo fikia Orgasm raha inakua ya sekunde chache kutokana na Neuronstransmitters zake zina respond vipi sasa watu Wana ona hiyo haitoshi ndo maana Wana fanya hivyo na kibaya zaidi kadri utakavyo weza kubana pumzi ndivyo utamu unavyo dumu.
Hii ina kuwa katika hatua za mwanzo mwishoni inako endelea watu Wana kabana shingoni, wana jifunga kamba mwili mzima, Mwisho mtu ana jisahau hadi ana jinyonga
Itaendelea

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages