Nembo iliyotengenezwa kwa gharama zaidi duniani

Nembo iliyotengenezwa kwa gharama zaidi duniani ni nembo ya kampuni la Symantec. Ilitengenezwa kwa dola za kimarekani bilioni 1.28 ($1280000000)
Gharama zilizotumika kutengeneza nembo kwa baadhi ya makampuni mengine makubwa duniani;
Google - Bure
Microsoft - Bure
BBC (branding) - $1800000
Coca-Cola - Bure
Twitter - $15
Pepsi - $1000000
Nike - $35

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages