Mwaka 1971, mfungwa Gerald Mayo alifungua kesi dhidi ya shetani na watumishi wake. Kesi hiyo yenye jina Gerald Mayo v. Satan and His Staff, na namba 54 F.R.D. 282 (W.D.Pa. 1971) mlalamikaji alikuwa anamshtaki shetani kwa kuweka vikwazo vingi kwenye maisha yake na kumsababishia maisha magumu. Jaji aliifuta kesi hiyo kwa kusema kuwa mshtakiwa siyo raia wa Marekani na hapatikani nchini humo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment