MK UTRA PROJECT -(No.5)

MK UTRA PROJECT - 5

JUSTIN BEIBER 
Ali anza kupata umaarufu akiwa mdogo sana, Lakini kadri Siku zilivyo jongea ndivyo alivyo zidi kubadilika, Kuna wakati mashabiki wali hisi kama Justin ame jiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya, Ndio Ni madawa ya kulevya yanayo tumiwa na MK UTRA PROJECT kama Lysergic acid diethylamide (LSD), Sensory deprivation, hypnosis na wakati mwingine Demon implanting. 

Pia Justin beiber Ni Illuminati huku akiwa na Reptilian DNA (blood), Ni Brotherhood of Serpent Mara Kadhaa amekuwa na hasira macho yake yana badilika, Uki angalia kwenye Interview zake ana Tabia ya Kutoa toa Ulimi kama mjusi. 

RIHANNA 
Kipenzi cha Watu Rihanna wengi wetu tume Shuhudia Mabadiliko yake, Kwenye wimbo wake wa Umbrella Wachambuzi wa mambo Wana sema ana eleza jinsi ambavyo ame funikwa na mwamvuli wa MK UTRA, Aidha ina elezwa kupitia wimbo huo Rihanna ana Lia kuomba msaada kwa watu ili kutoka kwenye kifungo hicho. 

Kwenye Albam yake ya Antidiary pia Kuna video fupi zina eleza jinsi Rihanna ame kuwa Demon Controlled Mind. 

ARIANA GRANDE 
Kwenye wimbo wake wa No Tears left to cry Ina elezwa ana Ongea kuhusu Tukio la "Manchaster Terrorists Attack" Lakini kwenye Video ya wimbo huo ana onyesha jinsi gani alivyo kuwa chini ya utawala wa MK UTRA Kuna Mashairi kwenye wimbo huo Ariana ana sema “Right now, I’m in a state of mind
I wanna be in, like, all the time
Ain’t got no tears left to cry”

Una weza kupata maelezo zaidi ya wimbo huo na programu nzima ya MK ULTRA kwenye movie kama "THE WIZARD OF OZ na LABYRINTH". 

CIARA 
Mwana dada huyu hatajwi sana kama Ni mmoja wa waathirika wa MK UTRA kwenye wimbo wake wa Turn up, Ciara ana onyesha koti lake lililo andikiwa "XIV HERMETIC ORDER OF GOLDEN DAWN" hiyo ni kauli mbiu ya 0TO ambao wenyewe ndo wanao control Organization zote Dunia wakiwa wana Fanya kazi chini ya Illuminati. 

Kuvaa kwake koti hilo Kuna elezwa ame funikwa na Demon, Pia Ame vaa buti zenye maneno hayo huku tafsiri ikiwa ana Endeshwa na Demon na Kuiendesha Dunia.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages