MK UTRA PROJECT 4
3.KESHA
Mwana Mziki Kesha pia ana husishwa na Demon Controlled Mind amekuwa aki fanya mambo ya kushangaza sana mbele ya Macho ya watu.
Kwenye wimbo wake wa "DIE YOUNG" ame fanya mambo ya ajabu mengi sana, Mwanzoni mwa video ya Wimbo Huo Kuna Gari Lina Onyeshwa Lenye Chapa yenye jina la "EVIL".
Pia Kwenye Video hiyo Kuna sehemu Kesha ana onyesha kama ana fanya Ngono Na Wanaume zaidi ya Watatu.
Kuna sehemu Wana onyeshwa vijana kama Wana jitoa kafara kwa kuloa damu.
Pia Kuna Sehemu Ina onyesha ame wekwa Chini ya ulinzi na Polisi, Ana Onekana ame vaa kijivazi chenye Alama ya Illuminati kwenye Makaliao Yake,
Mara Baada Mashabiki Wengi Kuonyesha kushangazwa na Kilicho Imbwa Na Kuonyeshwa kwenye Video ya Kesha Ya Die Young.
Kesha Kupitia ukurasa wake wa Twitter ali andika maneno haya "I understand. I had my very own issue with "Die Young "For this reason, I did Not want to sing those lyrics and I was forced to"
[ Naelewa, Nilikua Nina Jambo langu kubwa juu ya wimbo wa "Die Young" kwasababu hii, Siku Taka Kuimba Mashairi yale na Nilikua Nime Lazimishwa Kuiamba Vile].
Nani Ali Mlazimisha Kesha kuimba vile hata aka shindwa kukataa? Hata hivyo Ujumbe Huo Wa Kesha Kupitia Twitter, Uli Futwa Dakika chache Tu mara Baada ya kupostiwa.
4.BEYONCE
Ina sadikika Huyu ana Degree Ya Juu Zaidi Kuliko Wanawake wote Duniani kwa sasa katika Illuminati.
Nadharia kadhaa Zina Mtaja Beyonce Kuwa Ni Demon Controlled Mind kutokana na usha wishi alio nao ana Poteza mabinti wengi Wanao mfuatilia kama Idol au Role Model wao. ⚫
Pia Kuna Nadharia Nyingine ina Mtaja Beyonce kuwa amekua Cloned na Sasha Fierce ingawa Kuna Uka kasi katika Hilo, Katika Matamasha yake mwana dada Beyonce ana kawaida ya kubadilika macho.
Kwa wanao mfuatilia Kwenye Shoo zake ana Kawaida Ya kusema maneno haya "Everybody Put Hands To Me", Kinacho Fuata Hapo Macho Yake Yana Badilika Na kuwa Meusi.
Wajuvi wa Mambo Wana dai kwamba hiyo ndo staili yake ya kumuamsha Demon wake.

Kwa mara ya kwanza Kim Kardashian ali onekana na kuwa maarufu kwenye Video ya ngono na Ray J

No comments:
Post a Comment