Mashindano ya mbio za magari ya kwanza kabisa duniani yalifanyika Chicago, Marekani mwaka 1895. Magari yalishindana kutoka Chicago kwenda Evanston na kurudi jumla ya km 87. Frank Dyurea wa kampuni ya Dyurea Motor Wagon alishinda mbio hizo kwa kutumia masaa 7 na dk 53 akienda kwa spidi ya wastani wa 11 km/saa (11 kph)
Mashindano ya mbio za magari ya kwanza kabisa duniani yalifanyika Chicago,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment