Historia fupi ya jina la Heroin.
Mwaka 1895, kampuni ya kutengeneza dawa za binadamu ya Bayer ya Ujerumani ilianza kutengeneza dawa mpya ya kupunguza maumivu ya 'Heroin'.
Dawa hiyo ilikuwa mbadala wa 'Morphine' ambayo
ilikuwa inasababisha uraibu(addiction) kwa watumiaji. Heroin ilikuwa inauzwa katika maduka ya kawaida tu (kama Panadol inavyouzwa sasa hivi) hadi mwaka 1925 ilipogundulika kuwa ina madhara makubwa zaidi kuliko morphine.
Kabla ya hapo jina la Heroin halikuwepo, bali kemikali yake ilikuwa inajulikana kwa jina la kikemia tu, diacetylmorphine.
Historia fupi ya madawa ya kulevya Aina ya Heroin.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment