Hackers wanaoiba Pesa kwa kutumia kirusi cha 'Spying software'

Njia nyingine inayotumiwa na hackers ni kuvamia ulinzi wa computer za benki (hasa kompyuta za tellers na officers), kisha kurusha kirusi cha 'Spying software'. Kirusi hiki kinaunganisha taarifa zote za maafisa wa benki na hacker ikiwemo passwords kadhaa, hivyo kumpa hacker uwezo wa kuoperate kama afisa/teller wa benki. Baada ya hapo hacker anaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti za watu wengine na kuweka kwenye akaunti yake binafsi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages