Bila chakula kuchanganyika na mate huwezi kupata ladha yake.

Bila chakula kuchanganyika na mate huwezi kupata ladha yake.
# Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na kimeng’enya kinachofahamika kama salivary amylase au ptyalin. Kazi za mate katika umeng’enyaji ni kama ifuatavyo:
》Maji yaliyo katika mate hutumika katika kuyeyusha chakula.
》Uteute wake hulainisha chakula kiwe rahisi kumezwa.
》Kimeng’enyo chake (ptyalin au salivary amylase) hubadili wanga/carbohydrate kuwa sukari rahisi (maltose).

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages