Je Wajua?
# Bikini iligunduliwa mwaka 1946 na mfaransa Louis Reard.
Kabla ya jina ilo kutoka, nguo iyo ilikuwa iliitwa "ATOME" ila halikupendwa na wengi ndipo kubadilishwa na kuitwa "BIKINI".
Bikini ni jina linatokana na sehemu iitwayo BIKINI ATOLL ndani ya Pacific Ocean, ni sehemu iyo ndipo vipimo vya kwanza vya bomu la atomiki vilifanywa ilikuwa julai 1, 1946.
Well, Upi uhusiyano kati ya bomu ilo na kivazi ichi ?
Ni kwamba zama izo (1940s) zilikuwa ni zama za vita kote ulimwenguni na vitu vingi vilikuwa vinaundwa kwa kupachikwa majina ya sehemu za kutisha, vitu vyenye nguvu au watu wenye uwezo wa juu ili kuwasisimuwa wanunuzi wanunuwe zaidi.
Mfano: Mwanamke mrembo sana mwenye umbo la kuwasisimuwa wengi alikuwa anaitwa "BOMBSHELL". Kuonesha ni jinsi gani anawaripuwa wengi na uzuri wake uo.
Vazi ili la BIKINI lilipewa jina ilo kwa tafsiri za kihuni zaidi (ambazo siwezi kuziweka apa kwa hii posti) na ndo maana dini nyingi ikiwemo CATHOLIC CHURCH ilikuwa ni dhambi kulivaa hadharani na nchi nyingi (Italy, Portugal, Australia, Spain, na Belgium) miaka hiyo ilikuwa huruhusiwi kulivaa ila ujio wa
Utandawazi,demokrasia na Maendeleo ya Fashion kwa sasa mambo yamebadilika na linaruhusiwa ila baadhi ya nchi bado zinaukinzani na jambo hilo Yaani kulivaa hadharani
Wanamuziki,Video queen,fashionr na Wasanii wa movie wengi wao huona kawaida kuvaa.ila ni kawaida kuivaa kama nguo ya ndani kwa wanawake! Na kawaida kama vazi la kuogelea.
Bikini iligunduliwa mwaka 1946 na mfaransa Louis Reard.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment