mtoto wa miaka mitano anatumia glukosi katika ubongo wake mara mbili zaidi ya mtu mzima

Kulingana na utafiti, mtoto wa miaka mitano anatumia glukosi katika ubongo wake mara mbili zaidi ya mtu mzima, kwa maana ubongo unahitaji zaidi basi ukuaji wa mwili huwa mdogo. Katika umri wa miaka mitano mtoto hujifunza mengi kitu kinachofanya ubongo kuhitaji nguvu nyingi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages