Mambo Mabaya Ambayo Mkazo (Stress) Hufanya kwa Mwili Wako: Ubongo na mfumo wa umeng'enyaji wa chakula wa mtu unaendeshwa na homoni zinazofanana sana. Ubongo ulio na mkazo wakati mwingine husababisha kiungulia, vyakula kutomeng'enywa vizuri, kuhara, kichefuchefu na kutapika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment