Mambo Mabaya Ambayo Mkazo (Stress)

Mambo Mabaya Ambayo Mkazo (Stress) Hufanya kwa Mwili Wako: Huharibu usingizi! Mkazo hufanya akili kukumbwa na wasiwasi mwingi. Mawazo mengi hufanya mtu akose usingizi. Na kukosa usingizi humfanya mtu awe na mkazo zaidi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages