Jinsi ya kuweka facebook coment katika blog yako fuata hatua hizi hapa chini leo sina maneno mengi maana hata hii makala naandika lakini sina mood poa ya kuandika so nikikosea nikumbushe kwenye comment
kwanza ingia hapa https://developers.facebook.com/docs/plugins/comments/ kisha fungua app kulia juu utaona set project bonyeza hapo kisha fuata maelezo
ukishafanikiwa bonyeza tena hii link https://developers.facebook.com/docs/plugins/comments/ kisha nenda sehemu iliyoandikwa Comments Plugin Code Generator
kisha bonyeza get code
Sasa tafuta code hii <body> kisha copy hizo code za kwanza kisha paste juu ya code hii <body>
kisha copy code hizo za mwisho weka/paste sehemu ambayo unahitaji facebook comment box itokee
Jinsi ya kuweka facebook coment katika blog yako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment