JE UNAHITAJI KUCOPY MAKALA YEYOTE KUTOKA BLOG HII? SOMA HAPA

Ndugu Watembeleaji wa page hii ya Imatheboy Classic
kutokana na kila mmoja anakuwa na sheria zake kwaajili yake na watu wake binafsi nimeanzisha blog hii kwaajili ya kuwasaidia watu wa aina zote zaidi blogger's hasa wanaotumia lugha ya kiswahili lakini kwa masikitiko makubwa nimeona sheria zangu zikivunjwa wazi kabisa jambo ambalo likanatisha tamaa kuendelea kufanya mambo makubwa zaidi, nimeweka sheria kwa wale wanao kopi makala zangu hapa https://imatheboyclassic.blogspot.com nimeweka masharti rahisi sana katika sheria hiyo lakini watu wamekuwa wagumu kuelewa.
mpaka umeamua kukopi makala kutoka sehemu moja kupeleka kwako bila shaka umefahamu ni ugumu kiasi gani kuandaa makala mpaka ikiwa na msaada kwa watu wengine hivyo ili tusivunjane moyo katika kusaidiana naomba tujitahidi kufuata sheria za blog hii kwani sifanyi ili kupata pesa lakini nafanya hapa ili kuwasaidia watu wengine
Kila post Inajitegemea Humu Ukiipenda makala zangu wasiliana nami kwanza
All right Reserved@Imatheboy classic

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages