WAJUA KAMA DHAHABU ZIMETOKANA NA MGONGANO WA NYOTA?


Wataalam wa anga kutoka Harvard-Smithsonian Centre for Astrophysics (CfA) wamethibitishia kuwa dhahabu zenye thamani kubwa duniani zenye kung'ara na kupendeza, zimetokana na mgongano wa dead neutron stars.
Tukio hilo linafahamika kitaalam kama gamma-ray bursts (GRBs), Pia wataalam wameongeza kwa kusema mionzi inayo tokea baada ya mgongano huo huzalisha elements nzito kama vile dhahabu(gold),platinum na uranium.
Kabla ya hapo ilikuwa inafikirika kuwa dhahabu zinatokana na mlipuko unaotokea baada ya nyota kufa(SUPERNOVA).
Lakini baada ya utafiti wa kina imegundulika kuwa zinatokana na Gamma Ray-Bursts.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages