EmoSPARK ni machine ambayo imeunganishwa na bluetooth, wireless cube, na ina sense mazingira yake kupitia internet connection kupitia microphone, webcam, na smartphone yako.
machine hii inaweza kurespond commands zozote kama vile kucheza miziki katika simu yako, ku update status facebook, kujibu maswali kwa kupata taarifa kupitia wikipedia.
Lakini watengenezaji wa machine hiyo wamesema nia kubwa ya EmoSPARK ni kumpa mtu furaha, kwani humsoma mtu na kujua kipi humfurahisha na kipi ambacho hakimfurahishi mtu.
ARTIFICIAL INTELLIGENCE MACHINE INAYOWEZA KUSOMA EMOTIONS ZAKO NA KUKUPA FURAHA:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment