UNAJUA KUWA NYOTA HUWA ZINAKUFA, NA NINI KINATOKEA BAADA YA NYOTA KUFA?


Kitendo cha nyota kufa (Star death), kinaitwa SUPERNOVA ama "stellar explosion" ambacho huashiria kufikia mwisho mwa mzunguko wa maisha ya nyota.
Baada ya nyota kufa, hutokea mlipuko wenye nguvu na mwanga kama wa jua, mlipuko huo husababisha pia kutokea kwa mionzi ya aina ya Gamma, (gamma radiation).
MLIPUKO UNATOKEAJE?
Kokwa la nyota linapo pata joto kali sana hufanya carbon fusion ambayo mwisho husababisha nuclear fusion kisha kuisumbua nyota kwa muda then hutokea gravitational collapse katika nyota, ambayo husababisha kutokea kwa supernova explosion.
supernova explosion ilitokea mwezi wa tatu mwaka huu 2013.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages