MADINI YA URANIUM HUTUMIKA KUTENGENEZA MAKONTENA, RISASI NA VIFARU VYA KIVITA PIA.


Madini ya uranium ambayo pia hutoa mionzi aina ya Alpha kwa kiwango kidogo, hutumika kama high-density penetrators.
Depleted Uranium (DU) ikichanganywa na elements nyingine katika high speed impact, hardness, na density huzalisha projectile yenye uwezo wa ku destruct target zozote ngumu, mfano ni risasi ambazo zimetengenezwa kwa depleted uranium, nadhani inaeleweka kazi ya risasi inapotoka katika mdomo wa bunduki.
Pia uranium inatumika kutengenezea vifaru pamoja na makontena yanayotumika kusafirishia vitu vinavyotoa mionzi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages