Dr. Ronald Guderian aligundua kuwa shoti ya umeme inaweza kumtibu kabisa mtu alie ng'atwa na nyoka.
pia shoti hiyo ya umeme sio tu inatibu kabisa bali huondoa na kusimamisha dalili zote za mgonjwa alie jeruhiwa ndan ya nusu saa tu badala ya masaa mawili ya hospitali.
JINSI SHOTI INAVYOTIBU:
kitu kinachofanyka ni "IONIZATION" , ngozi na tishu za mwili zipo negatively charged wakati sumu ya nyoka ipo positively charged, kwahiyo shoti ya umeme inapompata mjeruhiwa inabadilisha ionization ya sumu ya nyoka na kuifanya sumu hiyo isilete asali yoyote mwilini.
SHOTI YA UMEME INATIBU, KAMA UMENG'ATWA NA NYOKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment