Kama unafuga mbwa au paka huwezi kupinga kuwa kuna baadhi ya vitendo wanyama hawa huwa wanavifanya lakini unakuwa huelewi, vitendo hivyo hufanya kwa nia ya kutengeneza mawasiliano kati yenu.
MBWA yeye huzungusha mkia wake taratiibu kuupeleka upande wa kulia na kuuchezesha chezesha pindi ambapo ana furaha na huupeleka taaratiibu upande wa kushoto pindi ambapo anapokuwa na huzuni.
Endelea kutembelea post katika hii page kuzijua njia nyingine za kuwasiliana na wanyama wa nyumbani (DOMESTIC ANIMALS).
HIZI NDO NJIA AMBAZO MBWA ANATUMIA KUWASILIANA NA BINADAMU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment