JE WAJUA?


Papa ni miongoni mwa viumbe vilivyokuwepo Duniani kwa miaka mingi zaidi.
Papa wanasadikika kuwepo Duniani tangu miaka milioni 420 hadi 455 iliyopita.
Na ili kujua namna ambavyo viumbe hawa ni wakongwe Duniani; enzi hizo wameanza kuwepo hakukuwa na wadudu, amphibia na hata wanyama reptilia. Hata maua pia hayakuwepo.
Mwanadamu wa kwanza mwenyewe anasadikika kuishi miaka laki mbili tu iliyopita.
Kwa hiyo kwa namna fulani, Papa ni wazee waliotuzidi miaka milioni 419... LOL
(Taarifa kwa Hisani ya Discovery Network: http://dsc.discovery.com/tv-shows/shark-week/about-this-show/
prehistoric-sharks.htm )

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages