Ni kama stori tu, au jambo ambalo tumezoea kuona kwenye filamu kama ile ya “Fifth Element” aliyocheza Bruce Willis kuona gari linalopaa…
Hii si hadithi tena, kwani Kampuni ya ‘Terrafugia’ illiyopo nchini Marekani imehamua kufanya ndoto hii kuwa Halisi.
Kampuni hii wametangaza, na wameshatoa michoro na mipango yao ya kutengeneza Gari linalopaa. Gari hilo limepewa jina “Terrafugia TF-X”....
GARI LINALOPAA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment