Halowww habar rafiki
Natumai wote hamjambo ,leo ninapenda kushare nanyi somo linalohusu ufugaji wa kuku wa Kienyeji na Chotara
Kuna mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujaanza kufuga nayo ni
1)Soko:Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kuangalia ni soko la muda huo linataka nn kama ni kuku wawe kuku aina gan au mayai yap yanatakiwa hii itakusaidia ww kuingia kwenye soko la
2)Mtaji : Ni vizur uangalie una mtaji kias gan ili ujue utaanza vip biashara yako kama itakuwa ya mtaji mkubwa au mdogo,na hata kama una mtaji mdogo usiogope ,unaweza ukaanza na mtaji mdogo ukaukuza hadi ukakua
Unaweza ukaanza hata na kuku 10,ukawazalisha wakawa wengi
3)Banda bora :lazima uwe na banda bora kwa ajili ya kufugia kuku wako
Na kuna aina mbili za mabanda
Mabanda ya ghorofa
Mabanda ya kawaida
Sifa za banda bora
Lijengwe kwa kuzingatia hali ya hewa ya eneo husika pamoja na uelekeo wa upepo
Ukubwa wa banda uendane na idadi ya kuku
Banda lisiwe linahifadhi uchafu
Unaweza ukaweka wavu juu ya banda ili kuku wakae juu na wakinya kinyesi kidondoke chin
Unaweza ukajaza maranda kwa kimo cha nchi 3-3
Liwe na vyombo vya maji na chakula vya kutosha
Lisiwe linavuja wala kupitisha upepo
Liwe na mlango na madirisha makubwa
Liwe linatenganisha kuku kulingana na umri wao
Liwe na viota kwa ajili ya kutagia na kuatamia mayai
4)Lishe bora:Ili upate matokeo mazur kwenye ufugaji wako laxima uwape kuku wako lishe bora
5)Mbegu bora:Matumizi ya mbegu bora yamekuwa ni changamoto kubwa kwa wafugaji walio wengi wa kuku hapa unatakiwa uwe makini sana wakat wa kuchagua mbegu za kuku
Baadhi ya mbegu bora za kuku
Kuchi
Shilole-kishingo
Singamaganzi nk
6)Malezi bora na tiba:Walee kuku wako vizuri na uwape chanjo na tiba kwa wakati kila uonanapo dalili za ugonjwa
Kuna aina kuu tatu za ufugaji
Ufugaji wa ndani ya mabanda
Ufugaji wa nusu ndan nusu nje
Ufugaji huria

No comments:
Post a Comment