Rodger Lause

Mnamo mwaka 1965,katika fukwe ya salem, ndani ya mji wa salemi , mtoto wa miaka 4 jina Rodger lause, aliokolewa na mwanamke alie itwa Alice alipo taka kuzama baharini ,alipo ingia katika maji hayo. 

Miaka tisa baadae, mtoto huyo Rodger lause alipo kuwa na miaka 13, ali mwokoa mwanaume sehemu ile ile aliyo okolewa yeye..na chaa ajabu huyo mwanaume alikuwa ni mume wa Alice , mwanamke ambae ali mwokoa Redger alipo kuwa na miaka 4, sehemu hiyo hiyo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages