Hyrax (Pimbi)

Hyrax Kwa Kiswahili wanamwita "Pimbi" ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (Busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kutoka kwenye pori moja kwenda lingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya, ni kujichosha tu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages