"
********************************
Ni takribani miezi 3 au 4 imepita tangu tuliposhuhudia michuano ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Urusi."Zabivaka ndio mchoro wa katuni uliotumika kama alama ya utambulisho wa michuano hiyo.
Huu umekuwa utamaduni wa shirikisho la soka duniani Fifa kutumia michoro ya kuchekesha katika mashindano mbalimbali.
No comments:
Post a Comment