Vitamini A

Vitamini A husaidia mtu kuweza kuona vizuri, huimarisha kinga ya mwili na husaidia ukuaji mzuri wa mtoto tumboni. Pia husaidia kuweka usawa wa vichocheo vya mapenzi. Vitamin A ipo kwenye karoti, maini, tikiti maji, maziwa n.k!

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages