Utajiri ni nini?
Kuwa na mali nyingi au pesa au kumiliki vitu vingi vyenye thamani kulingana na jamii yako. Mfano Wamasai utajiri kwao ni kuwa na ng'ombe wengi, lakini kwa wengine ni kuwa na pesa nyingi. Hapo unapata (Tofauti za kijamii ndizo humpa mtu kipimo cha kutambulika kama Tajiri)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment