Wengi Wetu Tumekuwa Tukitumia Mara Moja Haya Maji Ya Kopo (Kila Mtu na Shughuli Yake😂) . Sasa Kwenye Zile Chupa Huwa Kuna Expire Date Kweny Shingo Ya chupa Kwa chini Kidogo (km inavoonekn kweny picha) Inaaminika Kwamba Hio Expiredate Huwa Ni Ya Maji na Chupa lake Lakini Sivyoo Hio Expiredate Imewekwa Special Kwaaajili Ya Chupa tuuh Na Sio Maji Yaliyomo ndani . Kuna Wat Watasema Hata Expiredate Kweny Biscuit au Chocolate Kwamba Ni Ya karatasi Lile la Juu Na Co Product ya ndani😂🙌🙌
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment