THE GREAT EMU(Vita kuu ya EMU).
Nchini Australia, mnamo mwaka 1932,ilitokea vita kubwa kati ya binadamu na ndege aina ya Emu jamii ya Mbuni.
Kisa cha vita hiyo, ni kwamba , mwaka huo chini australa wali jaa hawa ndege baada ya kuzaliana kwa wingi kitu kilicho sababisha kufanya uharibifu wa mashamba ya serikali na wana nchi, baada ya ndege hao kula mazao/nafaka.
Hii ilisababisha nchi nzima kukumbwa na ukosefu wa chakula, sasa baada ya serikali kujalibu kila njia kuwazuia ndege hao na kushindwa.
Wali wakusanya wanajeshi wastaafu nchi nzima,na wengine kutoka nchi mbali mbali kama uingereza na kuweka kambi mashambani na mapori yote yenye ndege hao kisha kupigana vita dhidi yao kwa kutumia siraha za moto.
Unambiwa japo ndege hao walikufa wengi sana, lakini wanajeshi walishindwa kuwa maliza kitu ambacho kiliwafanya ndege hao kuibuka na ushindi baada ya vita hiyo kusimamishwa.
THE GREAT EMU(Vita kuu ya EMU).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment